Samatta ameshacheza mechi nyingi na amekuwa akifanya vizuri ila huyu kocha sijui kwanini bado hana imani nae, amekuwa akimwanzisha benchi sana kuliko kuanza, ata game ya jana kaingia dakika ya 79, kuanzia benchi kwa mchezaji mpya ni sawa ila sio kwa status aliyonayo samatta ya kuwa mchezaji bora katika ligi za Africa, inakuwa km dharau hivi, anyway dogo ana baraka zote za watanzania na tuna imani nae