eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Mshambuliaji wa tp mazembe atajiunga na KRC GENK ya ubelgiji baada ya timu hiyo kumnunua kwa yuro milioni 2.5 sawa na karibu billion 6 za kitanzani
SIMBA pia itanufaika na mauzo hayo kwa kua kwenye mkataba kiliwekwa kifungu
Gent ama genk manake hizo timu mbili ni hatari kule!!
Genk
Imeshiriki uefa mara kadhaa na kubeba kombe la ligi yao pia
Safi sana akomaae huo ndio mwanzo wa kuelekea vilabu vikubwa sasa...
Vizuri kwake, akapambane sana ili atoe mwanga kwa wengine.
Asiwe kama jamaa yake Jokate ameflop NBA kabisa.
teh teh teh teh Jamaa alikuwa anaona dili kuwapiga mitama akina TID na kushindana kutumia pesa na akina Mike Kimei..
Kaishia kumnunulia mamake Range Rover na kumfungulia mdogo wake Studio ambayo haifanyi lolote la maana hapa mjini..
Samatta ana discipline sana, hata alivyokuwa TP Mazembe alikuwa analipwa vizuri lakini hakuwa na mbwembwe wala majivuno, I hope soon tutamwona La Liga au EPL.. Cha msingi akikutana na timu za huko kwenye CL azikamie kwelikweli mpaka azitungue magoli... All the Best SAMATTA..
Baada ya kuflop hata akija Bongo ni kimya kimya na anaondoka kimya kimya.
Nasikia majuzi alikuwa Arusha alafu akasepa kimya kimya teh teh teh
Ebu soma hapa, nimecheka mpaka basi aisee "
[h=3]Philadelphia 76ers[/h] On August 26, 2014, Thabeet was traded to the Philadelphia 76ers in exchange for a trade exception and a 2015 protected second round draft pick.[SUP][15][/SUP][SUP][16][/SUP] On September 1, 2014, he was waived by the 76ers.[SUP][17][/SUP]
[h=3]Detroit Pistons[/h] On September 25, 2014, Thabeet signed with the Detroit Pistons.[SUP][18][/SUP] However, he was later waived by the Pistons on October 20, 2014.[SUP][19]"[/SUP]