Mtanzania Mbwana Samatta amepiga bao la pili kwa Mazembe katika dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza na mpira unaendela hivi sasa! Wanacheza na timu ya Tunisia.
Supersport wanaonyesha??!!!
Mtanzania Mbwana Samatta amepiga bao la pili kwa Mazembe katika dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza na mpira unaendela hivi sasa! Wanacheza na timu ya Tunisia.
Nafuu hata habari kama hizi zitokee huku kwenye Jukwaa la siasa maana kila kukicha Zitto na CHADEMA na maCCM yamekazana kama nini.
Kwani Samata hayupo Kenya kwenye challenge cup?
Nafuu hata habari kama hizi zitokee huku kwenye Jukwaa la siasa maana kila kukicha Zitto na CHADEMA na maCCM yamekazana kama nini.
Asante kwa taarifa Mkuu watu8Kwa sababu alikuwa anahitajika katika mechi ya leo huko Lubumbashi...huenda mechi na Somalia kesho yeye na Ulimwengu wakawepo Nairobi...
Hebu nikumbushe huyo Mbwana Samata ni mwanamuziki wa bendi gani vile. Na sasa hivi ameshatoa albamu ngapi.
safi sana,hapo hawachomoki atupie nyingine mbili