Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,749 Reaction score 7,024 Mar 3, 2013 #1 Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula kwenye jalala, mara ikapita Land Rover ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi; Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu kisha akamwambia mwenzie, ' Unaona wenzetu waliosoma, wale wanaenda kazini'
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula kwenye jalala, mara ikapita Land Rover ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi; Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu kisha akamwambia mwenzie, ' Unaona wenzetu waliosoma, wale wanaenda kazini'