Mbwa wa shambani

Mbwa wa shambani

mamso

Senior Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
174
Reaction score
195
German shepherd cross
Dume
2 years old
Price 250,000
Nipo Dar.

Pia kwa mahitaji ya mbwa wa ulinzi wa ndani petty dogs wasiliana nami.
Dm
Karibun

Snapchat-1761613119.jpg
 
Gs huyu au ni mbwa koko? Kama huyu ni gs cross mi nishafuga wengi design hii ilawako kadizi hata masikio yamelala kweli anaweza hata kushika sungura
 
Back
Top Bottom