Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,371 Oct 22, 2016 #41 gilbsonassan said: Mimi nina mbwa wang ndoo amezaa mara yake ya kwanza sasa sema hataki kuwanyonyesha watoto wake anawalalia tu amezaa vitoto saba kala kimoja kingine kimekufa ...naombeni msaada wenu ili mbwa wangu awanyonyeshe watoto wake wasife Click to expand... Mfunge kamba miguuni maana hamna jinsi
gilbsonassan said: Mimi nina mbwa wang ndoo amezaa mara yake ya kwanza sasa sema hataki kuwanyonyesha watoto wake anawalalia tu amezaa vitoto saba kala kimoja kingine kimekufa ...naombeni msaada wenu ili mbwa wangu awanyonyeshe watoto wake wasife Click to expand... Mfunge kamba miguuni maana hamna jinsi
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,917 Reaction score 10,628 Oct 23, 2016 #42 Hivi humu hakuna veterinary doctor kweli?
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,211 Oct 24, 2016 #43 mlishe akishba funga mikono ,miguu na mdomo na kiuno sehemu lete watoto wanyonye usiwe mtu wa mchezo mchezo
mlishe akishba funga mikono ,miguu na mdomo na kiuno sehemu lete watoto wanyonye usiwe mtu wa mchezo mchezo
hibiscus interior JF-Expert Member Joined Jan 13, 2016 Posts 1,168 Reaction score 596 Oct 25, 2016 #44 Unapatikana wap???