LEE VAN CLEEF Member Joined Feb 28, 2013 Posts 29 Reaction score 5 Apr 19, 2013 #1 Ngugu wana jf nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi nisaidieni mawazo kwa anayejua, nitampata wapi, vyakula madawa pamoja na maelezo mengine yatakayo nisaidia. Natanguliza shukrani.
Ngugu wana jf nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi nisaidieni mawazo kwa anayejua, nitampata wapi, vyakula madawa pamoja na maelezo mengine yatakayo nisaidia. Natanguliza shukrani.