Mbwa mkali ndani

Utakuta mijibwa yenyewe ni labrador, chihuahua, Pembroke welsh corgi na pomeranian. Mijibwa mitaratibu na mipole na mijinga.

Mfano labrador/lsbrador retriver kibaka ama buglar akivamia ndani ndio kwanza anaongozana naye kila chumba na kucheza naye
 
Nampenda sana breed ya pembroke welsh corgi kwasabab ya mtu flan
 
Habari za mchana wapendwa
Leo nataka niwaibie siri vijana
Unapopita mtaani unakuta
Wameandika kuwa kuna mbwa
Wakali ndani usihofu hiyo ni fursa ndani kuna watoto wa kike Wakali Balaa kama unabisha Fanya utafiti utakuta hata paka
Hayumo
Kwani watoto wakike wakali wameshakuwa bidhaa adimu mitaani kiasi cha kuhangaika kutumia mbinu za kale za enzi za West Germany ili kuwapata? Hiyo mipigo ilikuwa ni ya zamani sana enzi za kina Lord Lofa.
 
Habari za mchana wapendwa
Leo nataka niwaibie siri vijana
Unapopita mtaani unakuta
Wameandika kuwa kuna mbwa
Wakali ndani usihofu hiyo ni fursa ndani kuna watoto wa kike Wakali Balaa kama unabisha Fanya utafiti utakuta hata paka
Hayumo
Kwl mkuu,,ila utafiti unaonyesha hao mabinti wanakuwa kati ya 15 hadi 25 ndy UMRI WAO....wakifikisha zaidi ya miaka 28 na bado wapo nyumbani hawajaolewa WANABADIISHA MBWA mkali....wanaandika TUNAUZA ICE CREAM TAMU HAPA,,...hapo ni FURSA kwa wale wanaotaka TOTOZ,,kwani kila anayegonga geti kuulizia ICE CREAM wanatoka wale WADADA ,,,tena MZEE mwenyewe anawaambiya kuna mtu anagonga anataka ICE CREAM huko,,,,wakati ENZI hizo za 15 -25 ,,,mtu akigonga GETI anatoka MZEE MWENYEWE..mabinti mwiko kutoka nje bila ruhusa....
 
Umenifurahisha hapo kilicho wakuta na kilicho kukuta
 
Atakutana na yule wa "Bandarini" atamnusa maeneo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…