Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,935
- 10,559
Umri wa kujichanganya umeshanitupa mkuu sasa ni muda wa kucheza na wajukuuHaa we jichanganye ukutane ns pit bull au borebull wakukate kende hizo
Habari za mchana wapendwa
Leo nataka niwaibie siri vijana
Unapopita mtaani unakuta
Wameandika kuwa kuna mbwa
Wakali ndani usihofu hiyo ni fursa ndani kuna watoto wa kike Wakali Balaa kama unabisha Fanya utafiti utakuta hata paka
Hayumo
Umri wa kufanya hivyo umeshapitaHahaaaaa Ngoja ukutane na pitbull kama yule wa king Messi utaisoma namba, au Germany Shepherd
Sasa kwaninu Unawaza Watoto wa Kike wakali. Na kuwadanganya WengineUmri wa kufanya hivyo umeshapita
Kwani huyo whuuuu whuuuu wako hana banda la kuishi ili umfungulie usiku? 🐩🐕🐕🐕🐕Mie pia nimeweka ilo tangazo kwangu maana kuna watoto walikuwa wanacheza mpira ukaingia ndani ya fensi madogo wakaruka ukuta kuufuata. Kilichowakuta na kilichonikuta baada ya lile tukio na Germany shephard wangu ndio nilijua duniani hakuna jambo dogo. Kwa sasa nimeweka vibao kila kona ya nyumba kuwa kuna mbwa wakali hakijichanganya mtu mie simo
Si tuliyafanya enzi zetu au hutaki mkuu za kuambiwaSasa kwaninu Unawaza Watoto wa Kike wakali. Na kuwadanganya Wengine
Hata paka humo ndani hakuna ije kuwa mbwa mkali😂😂😂😂😂You just come to my place and play with daughters of men....
ndio utajua maana ya "mbwa wakali"
Umri wa kufanya hivyo umeshapita
Si tuliyafanya enzi zetu au hutaki mkuu za kuambiwa
Na ndiyo maana imebaki storiEnzi zileee "Zilipendwa"
Ndiyo hivyo ili vidume viwaoneAf hao watoto wazuri wakikaa sana ndani hawajapata mchumba na wanataka kuolewa wanageuza kibao wanaweka kibao kilichoandikwa Tunauza barafu
Na ndiyo maana imebaki stori
Imebaki tu enzi na hazitarudi tenaHahaa yeah..