Mbwa akiwa kazini

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102

Hapa ni kwenye Uwanja wa ndege Kigali Rwanda August 2013, ukiingia tu kuna askari yuko na mbwa kwa ajili ya ukaguzi kama hivi.

Mbwa wetu wa JKIA wanakula posho ya bure
 
Du!! Na huyo anayekaguliwa ni mama wa kiislamu. Kunuswa na mbwa si sawa, hasa wakati wa ramadhani
 
Hapa ni kwenye Uwanja wa ndege Kigali Rwanda August 2013, ukiingia tu kuna askari yuko na mbwa kwa ajili ya ukaguzi kama hivi.

Mbwa wetu wa JKIA wanakula posho ya bure

ukaguzi ni ukaguzi tu ila kulingana na hii picha na maelezo ya yako,kinachofanyika hapo sio sio sahihi.lazima uangalie na imani za watu.kuna watu mbwa kwao ni haramu na hata kugusa mzigo wake inampa mashaka.kwa taarifa yako jnia mbwa wapo na hufanya kazi kama hiyo pale tu pindi abiria anapomaliza kuchek in na kuachana na mzigo wake.sio lazxima kitendo hicho kifanyike mbele ya abiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…