Mbwa akifungua bomba la maji

Hawa nao wana fikra basi tu, ndio maana kuna wa toto watukutu wanaitwa mbwa.
 
Unamuuliza mzungu hapa unaishi na nani, anakuambia mimi na rafiki angu John, tumuone huyo John sasa, anatoka mbwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…