ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Masalia at work ulileta barua,, ukaandika thread ,ukamtukana facebook bado yupo na atakuwepo kwa sababu anasimamia maslahi ya taifa huu uzi ni wa kiouuzi kupata kutokea mtu yumo ndani ya nyumba anatoboa kwa suluhu hana tofauti na joka la mdimu wenzake wanatandaa nchi nzima yeye kanda yake kaisusa anasema eti anakazi ngumu kuendesha kamati yake lakini anshinda hapa kushabikia ujinga wa Makinda na ndugai wanaotaka wizi utamalaki wa mali za umma nchiniMh. Mbowe kama hataki kuuachia huo wadhifa aliopewa na wabunge wenzake wa Vyama vya upinzani basi wabunge wenzie wa vyama vya upinzani waangalie uwezekano wa kumuImpeach Mh. Mbowe.
Masalia at work ulileta barua,, ukaandika thread ,ukamtukana facebook bado yupo na atakuwepo kwa sababu anasimamia maslahi ya taifa huu uzi ni wa kiouuzi kupata kutokea mtu yumo ndani ya nyumba anatoboa kwa suluhu hana tofauti na joka la mdimu wenzake wanatandaa nchi nzima yeye kanda yake kaisusa anasema eti anakazi ngumu kuendesha kamati yake lakini anshinda hapa kushabikia ujinga wa Makinda na ndugai wanaotaka wizi utamalaki wa mali za umma nchini
lema ndo mnamwogopa sana kila mkilala lazma awajie ndotoni. Tapenitapeni tu mwsho wenu 2015ze marcopolo hebu jaribu kufanya utafiti yawezekana sio wao ni ule mti maarufu ambao kule arusha wameugeuza chakula.
Mwenye akili hawezi babaika bungeni kama anavyofanya lissu au lema .
Bila shaka haujajua ulinganifu wa majukumu ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Vs Waziri Mkuu na Mnadhimu Mkuu wa Serikali.Fujo Bungeni HAZIFAI, KUB wafunde wabunge wako na simamia baraza kivuli la mawaziri...
Bila shaka haujajua ulinganifu wa majukumu ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Vs Waziri Mkuu na Mnadhimu Mkuu wa Serikali.