Acha niandike kimipasho. Yaani ronaldo analipwa pesa nyingi na kashindwa kuipa ushindi timu yake jana...wakafungwa 3-1 na Al Ittihad wakiwa nusu fainali ya Saudi Super Cup. Huyu sio mbuzi wangu tena..nilimuamini na nilikuwa nimemuwekea dau sehemu...kaniuzi. Kama mwisho wa career yake ndio huu basi sio poa.
View attachment 2497309