Mbuzi kala mbwa

Safi kabisa, anachonyonya ni maziwa! Hali nyama hapo atiiii!!!
Na atabaki kuwa Mbuzi
 
Titi la mama ni tamu hata kama ni la mbwa!
 
Utashangaa mtu anabweka kama mbwa
tehetehe hayo maziwa na protin zake yana vinasaba(gene) za mbwa ukimla tu huyo mbuzi inahamia kwako then unaact kama jibwa.[emoji240] [emoji240] [emoji240]
 
tehetehe hayo maziwa na protin zake yana vinasaba(gene) za mbwa ukimla tu huyo mbuzi inahamia kwako then unaact kama jibwa.[emoji240] [emoji240] [emoji240]
[emoji240] [emoji240] [emoji240] [emoji240] unasema? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…