Shakil Bhanji
Member
- Jan 30, 2017
- 30
- 7
Katavi mbali nataka karibu na dar km dodoma singida kondoa nkweka namba kesho nikuunge na wauza mbuzi wa katavi nafahamiana nao utapata wote 100
Nauli ya gari ktk katavi itakuwa juuweka namba kesho nikuunge na wauza mbuzi wa katavi nafahamiana nao utapata wote 100
Mkuu chukuwa bus mpaka Katavi, lakini kabla hujafika hao wenyeji wako (wauza mbuzi) waombe wakutafutie usafiri. Na mkubaliane walipe robo ya usafiri mpaka utakapo wapeleka hao mbuzi. Kwani kununua mbuzi 100 ushafanya biashara kubwa kwao watakubali kusaidia usafiri tu.[emoji111]
Sina wenyeji KATAVI....jamaa tu amesajestiMkuu chukuwa bus mpaka Katavi, lakini kabla hujafika hao wenyeji wako (wauza mbuzi) waombe wakutafutie usafiri. Na mkubaliane walipe robo ya usafiri mpaka utakapo wapeleka hao mbuzi. Kwani kununua mbuzi 100 ushafanya biashara kubwa kwao watakubali kusaidia usafiri tu.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu acha woga mambo yataenda safi na wenyeji utapata huko huko
Wenyeji ndio hao wauza mbuzi mkuu sio lazima ujuwane na mtu. Lakini ushauri wangu usichukuwe pesa mkononi nenda na hela kidogo kama ukipata hao mbuzi malipo yafanyike benki.
Dodoma wapi??Njoo pm Mimi nipo dodoma na utapata hiyo idadi ya mbuzi unao wahitaji
Unanunua kwa mara moja au ni biashara endelevu mkuu, mie nipo Singida
Endelevu...nitumie # ykUnanunua kwa mara moja au ni biashara endelevu mkuu, mie nipo Singida
Nicheki kwenye namba hii nahitaji mbuzi