GE2025 Mbunge Wanu Ashiriki Mkutano Mkuu Maalum wa UWT - Kusini Unguja

GE2025 Mbunge Wanu Ashiriki Mkutano Mkuu Maalum wa UWT - Kusini Unguja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428

MBUNGE WANU ASHIRIKI MKUTANO MKUU MAALUM WA UWT - KUSINI UNGUJA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameshiriki katika Mkutano Mkuu Maaalum wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa CCM katika Wilaya ya Kusini uliofanyika katika Ukumbi wa TASAF Kizimkazi Dimbani ambapo Ajenda Kuu ikiwa ni Uchaguzi wa Madiwani Viti Maalum UWT katika Wilaya hiyo.

Pamoja na mambo mengine, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameshiriki zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa kuwapata Madiwani wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kusini Unguja ambapo Zoezi hilo limefanyika.
 

Attachments

  • Screenshot 2025-07-21 at 13-06-59 Instagram.png
    Screenshot 2025-07-21 at 13-06-59 Instagram.png
    730.7 KB · Views: 20
  • Screenshot 2025-07-21 at 13-07-27 Instagram.png
    Screenshot 2025-07-21 at 13-07-27 Instagram.png
    614.9 KB · Views: 19
  • Screenshot 2025-07-21 at 13-07-56 Instagram.png
    Screenshot 2025-07-21 at 13-07-56 Instagram.png
    828 KB · Views: 20
  • Screenshot 2025-07-21 at 13-08-11 Instagram.png
    Screenshot 2025-07-21 at 13-08-11 Instagram.png
    642.4 KB · Views: 19
Back
Top Bottom