mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Mbunge wangu anakula kisago kwa ajili ya chama chake huko Dodoma!!!Baada ya kupita maeneo mbali mbali ya nchi yangu ya Tanzania nimegundua nchi yangu ni nzuri sana yenye rasilimali nyingi ila haina wawakilishi bora mfano mzuri baada ya kuzunguka nimegundua kuwa kuna watu ama hawajui hata mbunge wao alipo..ama wengine wanalia kabisa wanasema Mbunge wetu yupo Dar tu! Hatumuoni jimboni tunamsikia Dar na Dodoma tu, sasa je ni mbunge wa dar au wa jimbo letu? Mfano wa jimbo ambalo nilipita nikasikia vilio ni Shinyanga!... Inasikitisha sana. Mimi kwa upande wangu nimewasikitikia ndugu zangu hawa kwa kufanya uamuzi mbaya....waige Jimbo Langu. Mbunge wangu ni Jembe tupo naye bega kwa bega anafuatilia mambo mengi hata pamoja na mizengwe kadhaa wa kadhaa anayokutana nayo katika utendaji wake. ANAITWA HALIMA MDEE...BIG UP MAMA...huyu ni Mbunge wangu wa KAWE. Vipi wewe kuhusu Mbunge wako???
Mimi mbunge wangu anaitwa George Boniface Simbachawene Mwataguluvala...Hapendi makuu na anajua kusoma alama za nyakati jambo la kusikitisha ni jinsi Tanesco wanavyotutesa kwa kukataa kutupimia na kutuwekea nguzo za umeme pale Kibakwe mjini hasa mtaa wa Kikulunge....Kila ninapokumbuka Adha hii ya kukosa umeme pale Kibakwe nahisi kugombea ubunge 2015....Anaitwa Deo, ni bonge la jembe na sina haja ya kuongea mengi.
Baada ya kupita maeneo mbali mbali ya nchi yangu ya Tanzania nimegundua nchi yangu ni nzuri sana yenye rasilimali nyingi ila haina wawakilishi bora mfano mzuri baada ya kuzunguka nimegundua kuwa kuna watu ama hawajui hata mbunge wao alipo..ama wengine wanalia kabisa wanasema Mbunge wetu yupo Dar tu! Hatumuoni jimboni tunamsikia Dar na Dodoma tu, sasa je ni mbunge wa dar au wa jimbo letu? Mfano wa jimbo ambalo nilipita nikasikia vilio ni Shinyanga!... Inasikitisha sana. Mimi kwa upande wangu nimewasikitikia ndugu zangu hawa kwa kufanya uamuzi mbaya....waige Jimbo Langu. Mbunge wangu ni Jembe tupo naye bega kwa bega anafuatilia mambo mengi hata pamoja na mizengwe kadhaa wa kadhaa anayokutana nayo katika utendaji wake. ANAITWA HALIMA MDEE...BIG UP MAMA...huyu ni Mbunge wangu wa KAWE. Vipi wewe kuhusu Mbunge wako???

mbunge wangu ni bonge la kiaz.
Mimi mbunge wangu anaitwa George Boniface Simbachawene Mwataguluvala...Hapendi makuu na anajua kusoma alama za nyakati jambo la kusikitisha ni jinsi Tanesco wanavyotutesa kwa kukataa kutupimia na kutuwekea nguzo za umeme pale Kibakwe mjini hasa mtaa wa Kikulunge....Kila ninapokumbuka Adha hii ya kukosa umeme pale Kibakwe nahisi kugombea ubunge 2015....
Huyu wa kwako ni kiazi, muuaji mkubwa, mzinzi, alifumaniwa na mke wa mtu Igunga, hahaaaa,kaaazi kweli kweli Irambadah, jembe langu MWIGULLU, jembe kwelikweli
Ntukamazina Huku Ngara hatuna shida nayeMbunge wangu anakula kisago kwa ajili ya chama chake huko Dodoma!!!
Tunamwobea apone na awakumbuke watu wake Tu!!!!!:hail::hail::hail::hail:
dah, jembe langu MWIGULLU, jembe kwelikweli
Nani asiye jua mtu anaeitwa Godbless Jonathan Lema, huyo ndie mbunge wangu chaguo la wana wa A town, kiboko ya magamba, Dhambi kubwa, na mbaya kuliko zote Duniani ni Woga! !!
Nakubaliana na wewe kamanda kwamba wabunge wa CDM hawana mipaka, magamba wanahaha tu na wizi kama panyaLema na CDM MPs ni wabunge wa kila mtu,hawana mipaka!acha ubinafsi kamanda