Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 261
- 199
MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu mazuri yaliyotolewa pamoja na Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kumpa nafasi ya kuuliza swali.
Katika swali lake, Mhe. Chomete amesema Mkoa wa Mara ni miongoni mwa mikoa isiyokuwa na viwanda vinavyofanya kazi licha ya kuwa na maeneo mazuri ya uwekezaji wa viwanda. Amehoji ni lini Serikali imejipanga kuja kuwekeza viwanda katika Mkoa wa Mara, hususan katika maeneo ya Tarime mjini, Bunda mjini, Musoma mjini, mkoani pamoja na maeneo yote yanayozunguka Mkoa wa Mara.