Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (CHADEMA) ashinda Kesi ya Uchaguzi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Waitara new.jpg

Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015.

Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa CCM Jerry Silaa. Hukumu hiyo imetolewa leo, muda mfupi uliopita na Jaji Fatma Msengi wa Mahakama kuu Dar es salaam.
 
Ingekuwa upande wa pili Watu wangesema haki haijatendeka.
Piga kazi sasa Waitara


Nasema tu
 
Jerry hamna rangi ataacha kuona si alimleta kibezi Magufuli sijui 2012 na jamaa asivyopenda kupingwa
 
Yaani Okwonko mpaka unapata ushidi dhidi ya shetani wa mguu mmoja A.K.A ****** huna budi kusema GOD IS GREAT! Narudia tena God is soo Great!
 
Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015.

Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa ccm Jerry Silaa. Hukumu hiyo imetolewa leo, muda mfupi uliopita na Jaji Fatma Msengi wa Mahakama kuu Dar es salaam.


WAITARAMWITA.jpg

Mbunge Mwita Waitara wa Jimbo wa Ukonga kupitia tiketi ya CHADEMA


maxresdefault.jpg

Pichani ni mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Ukonga ndugu Jerry Silaa
Tunampongeza mbunge waitara kwa kujihakikishia kuendelea kutuhudumia watanzania kupitia michango yake bungeni
 
Back
Top Bottom