monjozee
Senior Member
- Sep 19, 2016
- 115
- 297
Nimeona ujumbe ukienea mitandaoni juu ya hali mbaya ya kiafya ya Mh. John Heche (MB) Tarime Vijijini, nikataka kujiridhisha juu ya usahihi wa taarifa husika kwa kumtafuta Mh. Esther Matiko(MB) usiku huu.
Mh. Matiko amenithibitishia kuwa ni kweli hali ya Mh.Heche siyo nzuri, tangu leo jioni, na kwa hivi sasa yupo General Hospital Dodoma, kwa maandalizi ya kesho kuondoka na AIR AMBULANCE, kupelekwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
WATANZANIA WOTE NAOMBA TUMUOMBEE HUYU MBUNGE NA MTANZANIA MWENZETU.
Joseph Mohonia Politician