Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 185
Hapa kuna uwalakini. 1.Breki kuwa na hitilafu gari huwa haianguki..inagonga.2.Hii gari ni manual kama breki ina HITILAFU inazimuliwa bora gia box ife watu wapone........dereva kanjanja.....Mbunge wa Mbeya Mh. Joseph Mbilinyi amepata ajali Kitonga baada ya gari lake kupata hitilafu ya breki. Hakuna aliyejeruhiwa.
Hapa kuna uwalakini. 1.Breki kuwa na hitilafu gari huwa haianguki..inagonga.2.Hii gari ni manual kama breki ina HITILAFU inazimuliwa bora gia box ife watu wapone........dereva kanjanja.....