BVR 2015
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 315
- 634
Mbunge wa Mafinga Mjini Msh.Cosato Chumi (CCM) ameshinda kesi ya uchaguzi dhidi ya William Joseph Mungai (CHADEMA) ktk kesi iliyokuwa chini ya jaji Feleshi.
Wiliam Joseph Mungai ni mtoto wa waziri wa zamani Joseph James Mungai,alishindwa kwenye boksi la kura na sasa amepoteza kesi na atalazimika kulipa gharama za kesi.