Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,900
Jimbo la Kinondoni ni kati ya maeneo ambayo shughuli na watu wanaojihusiaha na madawa ya kulevya wameliteka!
Ukitaka kuona mateja wa kila namna pitia Kinondoni! Kinondoni ndiko biashara ilipo kwa wingi na ndiko watumiaji walipo kwa wingi kuliko maeneo mengine yoyote!
Sijui mbunge wa hili jimbo ana mpango gani au amejitoa namna gani kuhakikisha kua wapiga kura wa eneo hili hawapati madhara ya vilevi hivyo haramu!
Ni kama vile jimbo limemshinda mbunge wa jimbo hili kupitia CUF kwani hakuna jambo linaloonekana kufanywa nae walu kupunguza au kuondoa tatizo tukitilia maanani kwamba mbunge ni sehemu ya wananchi na anawajibika kwao hata kwa mambo kama haya!