barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,863
Jumatano iliyopita, mahakama ya wilaya ya Kilombero ilimhukumu kutumikia kifungo cha miezi sita jela bila kulipa faini mbunge huyo kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki.
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza na Gazeti la Nipashe jana kwa simu, alisema alimtembelea mbunge huyo kwenye gereza la Ukonga alikofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita.