Mbunge wa KARATU amefiwa na baba yake

Mbunge wa KARATU amefiwa na baba yake

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Mbunge wa Jimbo la Karatu Mkoani Manyara kwa tiketi ya CHADEMA Mh.YOHANA NATSE amefiwa na baba yake mzazi.
 
Kifo ni mapenzi ya mwenyezi MUNGU hakuna anayeweza kukikimbia. Tumwombee Marehemu afike salama mbinguni na roho yake iwekwe mahala inapositahili ( peponi au Jehanamu)
 
pole kamanda Natse, kazi ya mungu hiyo haina makosa, Apumzike kwa amani!
 
Pole sana kamanda, huu ni mtihani usio kwepeka wala kuzoeleka. Mungu akutie nguvu
 
Mbunge wa Jimbo la Karatu Mkoani Manyara kwa tiketi ya CHADEMA Mh.YOHANA NATSE amefiwa na baba yake mzazi.

Poleni wafiwa Karatu na Endalah. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema. Amen!
 
Poleni sana wafiwa Mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom