Mbunge wa Hai Mh. Mbowe afanya mambo...

Nenda hai ukaulize hilo ni darasa la ngapi anajenga tangu apewe ubunge, hakuna alichofanya.
kaanzisha kampuni akashinda kuisimamia hata kulipa wafanyakazi mshahara kashindwa.
Hilo trekta ni la hoyo kampuni aliyo ianzisha kwa mbwembwe, mbowe hajaifanyia hai kitu, mi natokea huko najua nachosema.
anaebisha akachunguze aone.
 
Back
Top Bottom