Mbunge wa Dom Mjini

Muanzisha mada anaonekana mbea mbea hiviii..., mtu wa taarabu sanaaa na magamba magambaaaa. Mteja wa magazeti ya shigongooo... In short mdaku.
 
Kibubumo, kwani wewe ndie Nehemiah Madeje?
Nauliza tu?
 

Meya alimwaga pesa ya kutosha 'rushwa' kwenye harakati ya kura maoni, hadi wenzake waliokuwa pamoja kwenye kura ya maoni wakaungana kumsapot mmoja wao ndo huyu wa sasa akapata, pia huyo meya ni mrangi na hapa hadi upate ubunge ka sio mgogo sahau....Na hili jimbo ni kama hamnaga mbunge kila anayepita haoni uhakika wa kukaa vipindi viwili vya ubunge kwa hiyo anaona bora achume aondoke.
 
Sithubutu mana ana mke dom na kimada dar

Huyo kimada lazima atakuwa ndugu yako, na fungu alilokuwa anatoa kwa kimada limepungua na athari yake imewakuta hadi nyie wanandugu wa kimada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…