Mbunge wa CHADEMA Mbozi anusurika kufa kwa ajali

Mbunge wa CHADEMA Mbozi anusurika kufa kwa ajali

Pole sapole sana kiongozi wa wana mbozi
 
Haya magari ya wabunge yana nini? Kwa ni i yanapata ajali mara kwa mara?
 
Una haraka kueleza jambo la kumbiwa, unaweka picha akihutubia ndio ajali hio?
 
Kuna chama kimoja kina watu wachawi sana ! Lakini Mungu yupo .
 
Taharifa rasmi nilizozipata muda huu toka kwa #Tumaini Makene ni kwamba Gari walilokuwa wanatumia (lililopinduka) limeharibika vibaya, kila la kumshukuru Mungu ni kwamba Mbunge na wenzake wametoka salama
 
Nitoe pole kwa kamanda na makamanda wenzake pamoja na wote walioguswa an ajali hii. Upinzani makini ni faida kwa wote hata sisi tusio makamanda.
 
Back
Top Bottom