Mbunge wa CHADEMA awalaumu UKAWA

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
DSCN0344.jpg
 
Raia Tanzania?! Hiki kipeperushi kilionyesha rangi zake wakati wa Uchaguzi mkuu kwa habari za uchochezi na uongo zilizofumbiwa macho na TCRA. Mtu mwenye akili timamu hawezi kusoma huu upuuzi, achilia mbali hata maandazi au sukari ya 200 siwezi kufungia.
Hahaaaaa Jana walisema Maalimu kahongwa Mil 350 Leo wamekuja na uhusiano wa Shein na Maalim watia Shaka
 
image.jpeg

Gazeti la Raia Tanzania?si ndio hilo limeandika Maalim Seifu "kahongwa" milioni 300?Ukiangalia uko kuhongwa ni eti aliomba hela ya matibabu kwa serikali ya Znz,kwamba kama hamtambui Shein mbona kamuomba hela ya matibabu??Yaani hiki chama dume mpaka hela zinazotokana na kodi za wananchi wameshazifanya mali yao
Huyo mbunge mwenyewe wanaomsema ni SAID ARFI aliyekuwa mbunge wa Mpanda Mjini kupitia Chadema,akahamia CCM wakamtosa na sasa yupoyupo tu,hii kazi katika Gazeti la Raia Tanzania inafanywa na EZEKIEL KAMWAGA....mtiririko wa habari katika gazeti hili imekuwa ni kuiandama CUF na Maalim Seif,uandishi wa hovyo hovyo wa kujipendekeza kwa watawala.Sasa SAID ARFI na CHADEMA wapi na wapi kwa sasa?
 
Na
Raia Tanzania?! Hiki kipeperushi kilionyesha rangi zake wakati wa Uchaguzi mkuu kwa habari za uchochezi na uongo zilizofumbiwa macho na TCRA. Mtu mwenye akili timamu hawezi kusoma huu upuuzi, achilia mbali hata maandazi au sukari ya 200 siwezi kufungia.
kuona kama umepagawa kwani nini shida kwenye tarifa hii.
 
Vipeperushi hivi nikileta chuki between wapinzani havifungiwi.CCM mwisho Msoga
 
INGEKUWA Hizo Hbr Zinahusu CCM, VIONGOZI Wake Na SERIKALI Yake!! KESHO Tu Tungemsikia Nape Akitangaza Kulifuta Hilo Gazeti Faster!!! LKN Wanaandika Hbr Ambazo Zina TIJA Kwao, Wako Kimyaa!! MAANA Magazeti Ya RAIA MWEMA, TANZANIA, UHURU, MZALENDO, HABARI LEO Na DAILY NEWS!! TOKEA Wkt Wa KAMPENI Za UCHAGUZI Mkuu Na Kipindi Cha Matokeo, Yalijidhihirisha Kwa Upande Walioko!!!! HIVYO Hivi Sasa WANAENDELEZA Pale Walipoishia Tu!!! HATA Aibu Hawaoni, Kuandika SAID AFFI Kama Mbunge, Ni UMBUMBUMBU Wa Kupitiliza, Haya WATUAMBIE Ni MWAKILISHI Wa Jimbo Gani, Au VITI MAALUM Wa CHAMA Gani!!?? WAANDISHI Kanjanja Au Wanavyoteseka Kwa Kununuliwa Na Wanaowachagulia HBR Za KUANDIKA!!! WANAJITOA Ufahamu Kiasi Cha KUPOTOSHA Umma Wa WATANZANIA, Kama SAID AFFI Ni MWANACCM!!! NA Uchaguzi Ulishafanyika Na SAID AFFI Hata Huko CCM Wamempiga CHINI!! SASA Kusema SAID AFFI Ni Mbunge Wa CHADEMA!! NI Kazi MAALUM, Ambayo Wametumwa Kuwapotosha Na Kuwatoa WATANZANIA Ktk HOJA Za Msingi Kwa Maslahi Ya TANZANIA!!! ILI Kuwafubaza Kwa Hoja Za UCHIZI Kama Hizi!!
 
Raia Tanzania?! Hiki kipeperushi kilionyesha rangi zake wakati wa Uchaguzi mkuu kwa habari za uchochezi na uongo zilizofumbiwa macho na TCRA. Mtu mwenye akili timamu hawezi kusoma huu upuuzi, achilia mbali hata maandazi au sukari ya 200 siwezi kufungia.

U strongly deviated from the main point.........
 
Ukawa hampendi kabisa kuona habari hasi dhidi yenu.
kuna lile gazeti wa mzee wa shanga na lile la mbowe yanaandika habari hasi za ccm hatuwaoni ccm wakilialia na kutukana hovyo
 
Back
Top Bottom