Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ALIKINUKISHA BUNGENI LEO.
ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAO;;; (rekodi aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa mjengoni)
PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA...
Ana wenge,ishu ya uliberali alitoka povu kinoma,nikajiuliza huyu mzee ni cuf au ccc,so far ni comedian mzuri,sijui jimboni kwake vipi? au porojo hizi hizi zinampa kura?
Huyu mbunge NI HATARI... afu anaongea kwa hisia kali sana za uchungu wa kweli..... WABUNGE NA WATU
TULIOMTAZAMA HUWA TUNACHEKA KWELI.... YOOTE ANASEMA KWELI...he looks brilliant & very very emotional & full of patriotism..
. Kasema serikali kazi KUOMBA OMBA TU MSAADA KWA WAZUNGU...AFU MNAFUJA HIZO FEDHA....SASA MASHARTI MAKALI YA WAZUNGU MTAYAWEZA....?? ucameroon hajasema but sms sent.....