Mbunge wa CCM Nkasi atoa mpya tena bungeni Dodoma

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Tuesday, June 18, 2013

Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ALIKINUKISHA BUNGENI LEO.

ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAO;;; (rekodi aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa mjengoni)

PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA...

 
Huyu jamaa amechukua nafasi ya Pawa Semindu Pawa kwa kuchekesha. Huwa akisimama bungeni mimi najiandaa kucheka.
 
Ana wenge,ishu ya uliberali alitoka povu kinoma,nikajiuliza huyu mzee ni cuf au ccc,so far ni comedian mzuri,sijui jimboni kwake vipi? au porojo hizi hizi zinampa kura?
 
mimi sitaki hata kuchangia habari yeyote inayo husu wana ccm wamenikwaza sana
 
Gesi ya kujambaa hahahahahahahaha! Hakika hi habari ilitakiwa iwepo jukwaa la jokes(utani).
 
Masisiem ni hayawani,wabunge wapo arusha msibani,waliobaki ni blah blah blah blah!!
 
Huyu jamaa nae bana, wakati mwingine anakosa point mpaka anaanza vituko. Ila namkubali ni mkweli.
 
Huyu Mzee Bwana, ana hasira sana na CCM wenzake, sijui kama kwenye kura za maoni watamrudisha.
 
Huyu jamaa amechukua nafasi ya Pawa Semindu Pawa kwa kuchekesha. Huwa akisimama bungeni mimi najiandaa kucheka.


Huyu mbunge NI HATARI... afu anaongea kwa hisia kali sana za uchungu wa kweli..... WABUNGE NA WATU
TULIOMTAZAMA HUWA TUNACHEKA KWELI.... YOOTE ANASEMA KWELI...he looks brilliant & very very emotional & full of patriotism..
. Kasema serikali kazi KUOMBA OMBA TU MSAADA KWA WAZUNGU...AFU MNAFUJA HIZO FEDHA....SASA MASHARTI MAKALI YA WAZUNGU MTAYAWEZA....?? ucameroon hajasema but sms sent.....

... aiseee.....!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom