Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,601
Endelea kutafuta kiki.Hili jamaa pumbavu kweli
P
Endelea kutafuta kiki.Hili jamaa pumbavu kweli
Mtu anafunga cctv camera for a reason, sio kwa ajili ya jirani, mambo yang cctv cameras ni mambo ya kizungu, issue za jirani ni none of their business, mambo ya kumind issues za majirani ni uswahili, eneo lile maisha ni ya kizungu, hakuna uswahili kila mtu ni kumind his or her own business.I think u hv an evidence ht kdg khs hili, cz issue hii ht kama mmiliki wa hizo CCTV CAMERAS alipaswa kuonyesha hali ya ubinadam cz aliyeshambuliwa ni binadam kama binadam wengne, Impression nyingi kwa binadam wenye huruma ni lazima wadodose na kujua au kupata ht majib kidogo kuhus hili
Paskal,wewe ni mwandishi wa habari wa siku nyingi na mwenye heshima kubwa hapa Tz.Hatuishi kwa hisia, CCTV cameras ni private property, mwenye CCTV cameras yuko huru kuziondoa CCTV cameras zake wakati wowote na kazihifadhi popote bila kuulizwa na yeyote kwa sababu ni private property, no right to trespass.
Mwenye CCTV cameras zake, alikuwa amepanga siku nyingi nyuma, kuwa ifikapo tarehe 8 September, 2017, ataziondoa CCTV cameras zake, hivyo ilipofikia tarehe hiyo, akazifuata kamera hizo, akazitupa jalalani, zikasombwa na gari la taka.
Ni bahati mbaya sana kwamba Tundu Lissu alishambuliwa tarehe 7 September na CCTV cameras zake zilirekodi kila kitu, lakini kwa vile ni kamera zake binafsi, yuko huru kufanya
nazo chochote bila kuulizwa.
Tukio la Shambulizi kwa Lissu limetokea coincidentally tuu siku ya kuziondoa CCTV cameras and has nothing to do with shambulio hilo.
Pia kulitokea coincidence nyingine, wakati shambulio linatokea, walinzi wote walikuwa washroom wakaacha lindo, na bunduki zilizotumika zote zilikuwa silencer, hivyo hata jirani mmoja aliyesikia chochote, hivyo mashahidi wa tukio hilo ni wawili tuu, jeshi la polisi linawasubiri liwahoji ndipo uchunguzi uanze.
Kufikiria jambo lolote la hisia zozote kuhusu shambulio la Lissu, ni ramli chonganishi...
Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Pasco.
Mtu anafunga cctv camera for a reason, sio kwa ajili ya jirani, mambo yang cctv cameras ni mambo ya kizungu, issue za jirani ni none of their business, mambo ya kumind issues za majirani ni uswahili, eneo lile maisha ni ya kizungu, hakuna uswahili kila mtu ni kumind his or her own business.
P
maisha ya Sasa Ni safe contained bafu ndani choo ndani na ukuta mkubwa kukuzunguka na mllango yenye magrill.Mtegemea Cha nduguye au jirani iwe CCTV or whatever hufa Hali maskini.Maisha ya Sasa Ni safe contained .Funga umeme,maji yako,CCtV zako na choo chako.Huwezi kwenda jisaidia choo Cha jirani na kutegemea choo Cha jirani au CCTV ya jirani