Mbunge wa Bagamoyo ni nani na yupo wapi?

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salama jamani.

Samahani kama ntawakwaza watu.

Mbunge wa Bagamoyo ni nani, na yupo wapi?


Toka 2015 sijamwona wala kumsikia, japo nipo jimboni kwake huku Bagamoyo.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Sasa Mkuu hata kumjua humjui, utamsikia vipi sasa? Umejaribu ku google au kuuliza majirani zako?
 
Back
Top Bottom