Mbunge Silinde unavuruga Chadema Mbozi magharibi [Momba]

Mbunge Silinde unavuruga Chadema Mbozi magharibi [Momba]

shibwe

Senior Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
156
Reaction score
17
Taarifa zilizo nifikia hv punde zinaeleza mbunge david ernest silinde ameanzsha vikundi ndan ya chama cdm momba. Inadaiwa vikundi hvyo vnafanya vikao kinyme cha katiba.pili vnaukejeli na kuutukama kwa matusi ya uongozi wa wilaya. Mtoa taarifa kwa masharti magumu anasema kazi ya mbunge n kutulpa posho lengo anataka tuung'oe uongozi wote wa (w).

Kikao moja wapo kilfanyka tar.26.2.2014 kwa ufadhili wa mbunge hata alpo zuiwa na uongozi kanda na mkoa.mh.silinde aliwatia pamba wajumbe wa vikao vyake vya kimapinduzi dhidi ya uongozi wa(w)
 
Taarifa zilizo nifikia hv punde zinaeleza mbunge david ernest silinde ameanzsha vikundi ndan ya chama cdm momba.inadaiwa vikundi hvyo vnafanya vikao kinyme cha katiba.pili vnaukejeli na kuutukama kwa matusi ya uongozi wa wilaya.mtoa taarifa kwa masharti magumu anasema kazi ya mbunge n kutulpa posho lengo anataka tuung'oe uongozi wote wa (w).kikao moja wapo kilfanyka tar.26.2.2014 kwa ufadhili wa mbunge hata alpo zuiwa na uongozi kanda na mkoa.mh.silinde aliwatia pamba wajumbe wa vikao vyake vya kimapinduzi dhidi ya uongozi wa(w)
Pangilia vizuri hoja yako ili ueleweke.
 
Taarifa zilizo nifikia hv punde zinaeleza mbunge david ernest silinde ameanzsha vikundi ndan ya chama cdm momba.inadaiwa vikundi hvyo vnafanya vikao kinyme cha katiba.pili vnaukejeli na kuutukama kwap matusi ya uongozi wa wilaya.mtoa taarifa kwa masharti magumu anasema kazi ya mbunge n kutulpa posho lengo anataka tuung'oe uongozi wote wa (w).kikao moja wapo kilfanyka tar.26.2.2014 kwa ufadhili wa mbunge hata alpo zuiwa na uongozi kanda na mkoa.mh.silinde aliwatia pamba wajumbe wa vikao vyake vya kimapinduzi dhidi ya uongozi wa(w)

We gamba ukiwa mwongo usidanganye mbele ya halaiki ya watu, huwa kunawengine wanaujua ukweli utaumbuka bule.

Hivi unamjua hata mwenyekiti wa wilaya ya momba Chadema?
Kwa taarifa yako mwenyekiti wa wilaya ndie katibu wa mbunge ndie anapokea kero mbali mbali za wananchi akiziwakilisha kwa boss wake. Ndiye kwa kushirikiana na diwani wa hapa Tunduma wamefanikiwa kusimamia na hatmae kujengwa kwa visima vitatu vya maji hapa Tunduma.

Kiujumla hakuna mtu ambaye anaelewana vizuri na Mb Silinde kama ndugu China mwenyekiti wa wilaya chadema. Hizo propaganda zenu Silinde alishasema yeye hazimsumbui na badala yake kinacho msumbua ni kuwaletea maendeleo wapiga kura wake kitu ambacho amekitimiza kwa aslimia tisini

Kama kuna mtu mnamwandaa kwaajili kugombea ubunge hapa momba nyie endeleeni tu wala msijihangaishe kumchafua Silinde hachafuki kirahisi namna hiyo nyie pangeni karata zenu either mkutane kwenye kura za maoni au ktk uchaguzi wenyewe kama. mtafanikiwa kupitia vyama vingine.

Ila muwe tayari kuadhirika Silinde ni mfupa mgumu ulio mshinda fisie mean Siame sasa nyie mmeanza mapema na vipropaganda vyenu uchwara hamumuwezi kamwe nawashauri tafuteni jimbo jingine hili hamliwezi.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom