Wild man from the Hills
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,010
- 5,837
Mama afukuze Tu mawaziri mizigo
Yeye mwenyewe mzigo
Mama afukuze Tu mawaziri mizigo
sijakuelewa mkuu...uchumi si mlisema umepanda ? aliufunga nani na nani anaufungua ? ndege alinunua nani ? aliyenunua ndege alikosea ? wakati ananunua mama alikuwa wapi ?
Inabidi ajifukuze mwenyewe maana yeye ndo mzigoMama afukuze Tu mawaziri mizigo
Na muda ndio huu, CCM imepoteza sifa za kutoa kiongozi mbunifu na mwenye kuzingatia matakwa ya wananchiTanzania bila ccm inawezekana
sijakuelewa mkuu...uchumi si mlisema umepanda ? aliufunga nani na nani anaufungua ? ndege alinunua nani ? aliyenunua ndege alikosea ? wakati ananunua mama alikuwa wapi ?Sasa ndege Mama ndo aliamua kuzinunua? Mama sasa hivi ana kazi kubwa ya kuondoa kwanza ukungu ulio kwenye vichwa huku anaufungua uchumi wetu.
Pili Mh. anaonekana ana jambo anataka kuongea ila mpangilio wake haujanyooka vizuri huenda ni kwasababu ya ugeni.
mkuu usiongelee transition za maneno ya wanasiasa...Uchumi naujua ila sioni transition yeyote zaid ya maneno tu...mama ni sehemu ileile unayosema walikuwa wanaimplement Austerity measures , haya labda tuseme walifanya hizo policies za ubahili mbona Deni limekuwa kubwa sana, what the heck happened ? You guys blubbering as if mama was not part of the team, to add insult to injury she was the VP, the seconnd most powerful person kwenye hiyo regime. Wakati magu yupo mlisema he was doing the right thing, kasepa mnasema mama anarekebisha the bad doings za magu, ivi kweli mnataka mtu mwenye akili timamu awe anawasikiliza na kuwaelewa ? Think about it man...Endelea kutokuelewa UCHUMI ni mpana sana utakuchanganya mkuu transition ya kutoka katika Austerity measures na kuincourage recurrent expenditures, pia si mlisema vyuma vimekaza ndio grease inawekwa sasa Mkuu.
Endeleeni kusifu. Si anaupiga mwingi au!?Mama afukuze Tu mawaziri mizigo
Mkuu kuna namna jambo linavyotakiwa liwe na kuna namna jambo linavyofanywa, na pia kuna muda unatakiwa ukubaliane na hali ilivyo ila unapopata nafasi ya kufanya inavyotakikana unafanya Mkuu.sijakuelewa mkuu...uchumi si mlisema umepanda ? aliufunga nani na nani anaufungua ? ndege alinunua nani ? aliyenunua ndege alikosea ? wakati ananunua mama alikuwa wapi ?
mkuu usiongelee transition za maneno ya wanasiasa...Uchumi naujua ila sioni transition yeyote zaid ya maneno tu...mama ni sehemu ileile unayosema walikuwa wanaimplement Austerity measures , haya labda tuseme walifanya hizo policies za ubahili mbona Deni limekuwa kubwa sana, what the heck happened ? You guys blubbering as if mama was not part of the team, to add insult to injury she was the VP, the seconnd most powerful person kwenye hiyo regime. Wakati magu yupo mlisema he was doing the right thing, kasepa mnasema mama anarekebisha the bad doings za magu, ivi kweli mnataka mtu mwenye akili timamu awe anawasikiliza na kuwaelewa ? Think about it man...
nakubaliana na wewe Mia kwa mia, sababu mimi ni muumini wa jambo kufanyika linavyotakiwa kufanyika...Madam President anaweza akawa na nia nzuri kabisa ila sasa yupo surrounded na crooked mf's...mfano ulivyosema issue ya recurrent expenditure(mashule, mahospitali and all that), haya mambo yapo in-place ila sasa implementation machinery, followup and feedback mechanism na vitu kama hivyo ni tatizo, leo leo kuna mbunge anasema hizo hela huko halmashauri zinagombewa na hamna kitu kinaendelea na anasema budget ni ndogo kuliko price ya vitu vya ujenzi, sina uhakika na hili ila kama ndio ivyo tumekwisha mkuu...Mkuu kuna namna jambo linavyotakiwa liwe na kuna namna jambo linavyofanywa, na pia kuna muda unatakiwa ukubaliane na hali ilivyo ila unapopata nafasi ya kufanya inavyotakikana unafanya Mkuu.
Hii pia inaashiria failure ya familia na mambo ya imani Mkuu kwasababu hawa watu walipaswa waelewe hizi pesa ni kwaajili ya ku improve social and economic welfare za public in general lakini sababu ya malezi kiimani na kifamilia walifundishwa wizi. Kwa upande mwingine hii inaonesha umuhimu wa kuwa na taasisi imara mathalani PCCB wangepatikana watu wa kutolewa mfano wakarudishwa ground zero sababu ya dhuluma zao watu wangeheshimu mali za UMMA ila ndio hivyo tena Mkuu taratibu tutafika.nakubaliana na wewe Mia kwa mia, sababu mimi ni muumini wa jambo kufanyika linavyotakiwa kufanyika...Madam President anaweza akawa na nia nzuri kabisa ila sasa yupo surrounded na crooked mf's...mfano ulivyosema issue ya recurrent expenditure(mashule, mahospitali and all that), haya mambo yapo in-place ila sasa implementation machinery, followup and feedback mechanism na vitu kama hivyo ni tatizo, leo leo kuna mbunge anasema hizo hela huko halmashauri zinagombewa na hamna kitu kinaendelea na anasema budget ni ndogo kuliko price ya vitu vya ujenzi, sina uhakika na hili ila kama ndio ivyo tumekwisha mkuu...
Thats bold mkuu Taasisi imara ndio kila kitu.... Hawa jamaa wakila hizi pesa wawajibishwe.. Alafu me nadhani the whistle blowers wa hii nchi hawafanyi kazi ipasavyo au wanapewa milungula watulie, Again usiache kukuza watoto katika imani na elimu, kuja ujinga mwingi mtaani and that should not be part of your familyHii pia inaashiria failure ya familia na mambo ya imani Mkuu kwasababu hawa watu walipaswa waelewe hizi pesa ni kwaajili ya ku improve social and economic welfare za public in general lakini sababu ya malezi kiimani na kifamilia walifundishwa wizi. Kwa upande mwingine hii inaonesha umuhimu wa kuwa na taasisi imara mathalani PCCB wangepatikana watu wa kutolewa mfano wakarudishwa ground zero sababu ya dhuluma zao watu wangeheshimu mali za UMMA ila ndio hivyo tena Mkuu taratibu tutafika.
Sema afukuze wote achague wapya.Mama afukuze Tu mawaziri mizigo
Hayo maneno "tuko kwenye mchakato"ndo hatutaki kuyasikia Kwa sababu yanatuchelewesha sana.Hawezi kukabidhiwa na kuendelea tuu bila kutafakari methodology ya mtangulizi wake maana tusisifie tuu kasi ya usambazaji, tujiulize je ilikuwa na value for money? (Lengo langu sio kuwa too much skeptical bali inabidi kujiridhisha namna bora ya moving forward).
Alikuta mipango imeKamilika, kazi yake ilikuwa kuingia saiti na kukamilishaNa wewe umezidi, yaani huyu kaja juzi tu umeshaanza kumshambulia? Mpe muda!
Mkuu, hili ni suala la induction. Huyo Kiongozi wao mkuu ndo tatizo.Mama afukuze Tu mawaziri mizigo,
Kabla hajawafukuza, ajiwajibishe kwa kuteua mizigo.Mama afukuze Tu mawaziri mizigo