maguu ndo alieanza kuharibu mambo. kila kitu magu katoa. naona wale chawa bado wapoo...kila siku wanasema Mama katoa fedha kwa ajili ya mradi fulani, badala ya kusema serikali ndio imetoa fedha.
..itafika mahali wananchi wataamini mwenye msaada kwao ni raisi peke yake, na viongozi na watendaji wengine hawana maana.
Mama afukuze Tu mawaziri mizigo
Ni kweli,Sasa ndege Mama ndo aliamua kuzinunua? Mama sasa hivi ana kazi kubwa ya kuondoa kwanza ukungu ulio kwenye vichwa huku anaufungua uchumi wetu.
Pili Mh. anaonekana ana jambo anataka kuongea ila mpangilio wake haujanyooka vizuri huenda ni kwasababu ya ugeni.
Uchumi umefunguka? Mponze mbio zake ziko karibu na ukutaSasa ndege Mama ndo aliamua kuzinunua? Mama sasa hivi ana kazi kubwa ya kuondoa kwanza ukungu ulio kwenye vichwa huku anaufungua uchumi wetu.
Pili Mh. anaonekana ana jambo anataka kuongea ila mpangilio wake haujanyooka vizuri huenda ni kwasababu ya ugeni.
Wewe tulia tuu utajionea mwenyewe mambo yanaenda kufunguka zaidi, chukua popcorn tulia watu wapo kazini.Uchumi umefunguka? Mponze mbio zake ziko karibu na ukuta
sijakuelewa mkuu...uchumi si mlisema umepanda ? aliufunga nani na nani anaufungua ? ndege alinunua nani ? aliyenunua ndege alikosea ? wakati ananunua mama alikuwa wapi ?Sasa ndege Mama ndo aliamua kuzinunua? Mama sasa hivi ana kazi kubwa ya kuondoa kwanza ukungu ulio kwenye vichwa huku anaufungua uchumi wetu.
Pili Mh. anaonekana ana jambo anataka kuongea ila mpangilio wake haujanyooka vizuri huenda ni kwasababu ya ugeni.
Una vinasaba vya jini jiwe siyo bureUongozi wa nchi wote kwa ujumla haufai..........................Mungu hataniwi kamwe
Mjambiani tumekusikiaHawezi kukabidhiwa na kuendelea tuu bila kutafakari methodology ya mtangulizi wake maana tusisifie tuu kasi ya usambazaji, tujiulize je ilikuwa na value for money? (Lengo langu sio kuwa too much skeptical bali inabidi kujiridhisha namna bora ya moving forward).