Ni kweli? Kwa nini chadema haikufungua kesi?Nappe Mzee wa bao la mkono au amesahau kuwa hata huo ubunge wake ni wa dhuluma dhidi ya Chadema.
Nani kakwambiaNappe Mzee wa bao la mkono au amesahau kuwa hata huo ubunge wake ni wa dhuluma dhidi ya Chadema.
Hiviii yule aliekuwa mshindani wake nadhani wa cuf alikufa etiee?Nani kakwambia
Swissme
Ukombozi tena sio mapinduzi?Nafafananisha uchaguz wa marudio wa kenya na zanzibar
Wamefanana kila kitu.Seif alijitoa Shein akapita
nae odinga kajitoa Uhuru atapeta
Hapa ndo hua naamini kwanini CCM kinaitwa chama cha ukombozi Afrika,hivi vyote huiga ccm
Umerudi hewani?Nani kakwambia
Swissme
Wale wapenzi wa magoli ya mkono ni lazima watamuunga mkono Kenyata. Nape usijitoe ufahamu, Kenyata aliiba kura August 8, hilo halina ubishi hata Supreme court iliamua hivyo, sasa unachomsifia Kenyata ni nini? CCM nao ni wezi wa kura ndiyo maana lazima wamsifie mwizi mwenzao.Mbunge wa Mtama CCM, Nape Nnauye amefunguka na kumtabiria ushindi mgombea wa urais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kusema kuwa atashinda uchaguzi huo ambao utafanyika Alhamisi Oktoba 26, 2017 na kusema Uhuru ndiye anayestahili kuongoza nchi hiyo.
Nape Nnauye amedai kuwa Uhuru Kenyatta anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa sababu yeye ni mwana demokrasia wa kweli hivyo anaamini raia wa Kenya watampa kura nyingi za kutosha na kumpuuza mpinzani wake Raila Odinga.
"Unastahili kuwa Rais wa Kenya Mwana demokrasia wa kweli. Naamini ndugu zangu wa Kenya watakuchagua kwa kishindo kesho na kumpuuza kibaraka".
Ameandika Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Nchi ya Kenya kesho inategemewa kufanya uchaguzi wa marudio wa nafasi ya urais kufuatia mahakama ya juu nchini humo kufuta matokeo ya urais.
Ni kweli? Kwa nini chadema haikufungua kesi?
Halafu mnajiita mashabiki wa Chadema hamjui kuwa hata mgombea wenu wa ubunge ambae alistahili ushindi alifungwa miezi sita jela kutokana na figisu za Nappe.Nani kakwambia
Swissme
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amefunguka na kumtabiria ushindi mgombea wa urais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kusema kuwa atashinda uchaguzi huo ambao utafanyika Alhamisi Oktoba 26, 2017 na kusema Uhuru ndiye anayestahili kuongoza nchi hiyo.
Nape Nnauye amedai kuwa Uhuru Kenyatta anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa sababu yeye ni mwana demokrasia wa kweli hivyo anaamini raia wa Kenya watampa kura nyingi za kutosha na kumpuuza mpinzani wake Raila Odinga.
"Unastahili kuwa Rais wa Kenya Mwana demokrasia wa kweli. Naamini ndugu zangu wa Kenya watakuchagua kwa kishindo kesho na kumpuuza kibaraka".
Ameandika Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Nchi ya Kenya kesho inategemewa kufanya uchaguzi wa marudio wa nafasi ya urais kufuatia mahakama ya juu nchini humo kufuta matokeo ya urais.
Aisee.. Kwahiyo Nape hakuiba kura?Nani kakwambia
Swissme