SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 May 27, 2015 #1 TFDA hapa tanzania ni shirika chini ya wizara ya afya linaloshughulikia ubora na usalama wa madawa, vyakula, vipodozi nk. Mbunge mmoja (mzeemzee hivi) alisimama bungeni kuzungumzia shirika hilo na kuanza: "Hili shirika la TPDF....................."
TFDA hapa tanzania ni shirika chini ya wizara ya afya linaloshughulikia ubora na usalama wa madawa, vyakula, vipodozi nk. Mbunge mmoja (mzeemzee hivi) alisimama bungeni kuzungumzia shirika hilo na kuanza: "Hili shirika la TPDF....................."