tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
unaambiwa ni mali ya familia yake usitake kujua yakazi gani?yeye madawati ya kazi gani?
Du..Siasa za bongo bwana
pole sana kwa kuibiwa madawati yako pambana mpaka ushinde kesiKatika hali isiyo ya kawaida (Kwa taarifa ya habari ya TBC 1), mbunge aliyeshindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Mathayo Manyinyi, amemtuhumu mbunge wa Musoma mjini kwa tiketi ya CHADEMA Vincent Nyerere pamoja na madiwani kwa kumwibia madawati.Mathayo amesema atawafikisha watuhumiwa mahakamani kwa kumwibia mbunge huyo mstaafu madawati ambayo ni mali ya familia yake.
Binafsi nimeshindwa kuelewa vema sakata hilo. Naomba mwenye taarifa kamili atujuze. Yawezekana pia ikawa ni hasira za kushindwa katika uchaguzi!
Katika hali isiyo ya kawaida (Kwa taarifa ya habari ya TBC 1), mbunge aliyeshindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Mathayo Manyinyi, amemtuhumu mbunge wa Musoma mjini kwa tiketi ya CHADEMA Vincent Nyerere pamoja na madiwani kwa kumwibia madawati.Mathayo amesema atawafikisha watuhumiwa mahakamani kwa kumwibia mbunge huyo mstaafu madawati ambayo ni mali ya familia yake.
Binafsi nimeshindwa kuelewa vema sakata hilo. Naomba mwenye taarifa kamili atujuze. Yawezekana pia ikawa ni hasira za kushindwa katika uchaguzi!
Mkuu kwani kuwa na madawati mengi ndio mwehu? yeye anataka madawati yake msitake kujua ya kazi gani, Mbunge na Diwani wake wafanye haraka kumlipa jamaa madawati yake, kabla kesi aijawa kubwaHuyu sasa naona ashakuwa mwehu.... madawati ya familia?? Yaani ndio walikuwa wanayatumia kama viti au ndo style zile za chama cha magamba za kuondoka kwenye ofisi za wabunge na furniture??
Mkuu kwani kuwa na madawati mengi ndio mwehu? yeye anataka madawati yake msitake kujua ya kazi gani, Mbunge na Diwani wake wafanye haraka kumlipa jamaa madawati yake, kabla kesi aijawa kubwa
Nafikiri kilikuwa kipindi cha VIOJA MAHAKAMANI.Katika hali isiyo ya kawaida (Kwa taarifa ya habari ya TBC 1), mbunge aliyeshindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Mathayo Manyinyi, amemtuhumu mbunge wa Musoma mjini kwa tiketi ya CHADEMA Vincent Nyerere pamoja na madiwani kwa kumwibia madawati.Mathayo amesema atawafikisha watuhumiwa mahakamani kwa kumwibia mbunge huyo mstaafu madawati ambayo ni mali ya familia yake.
Binafsi nimeshindwa kuelewa vema sakata hilo. Naomba mwenye taarifa kamili atujuze. Yawezekana pia ikawa ni hasira za kushindwa katika uchaguzi!