Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Acha ujinga wewe, hiyo ni picha siku ya msiba wa marehemu mke wake, sasa unaweka hapa ili iweje?
MODS Naomba mfute huu upuzi, BAVICHA mnamatatizo sana.
anadhani atapata zari kama Yesu alivyopaa?
Kwa kweli kabisa hii picha imechukuliwa akiwa ndani na anaonekana kuchoka sana. Yawezekana kabisa ni kweli ilikuwa siku ya msiba wa mkewe. Kama ndivyo yeyote alieitumia picha hiyo kama nia ya kumdhalilisha kwa wapiga kura Morogoro na alaaniwe.
unaushahidi kama walipost hiyo picha ni BAVICHA?
Sasa ikiwa picha ya kwenye msiba inakuwa siyakeAcha ujinga wewe, hiyo ni picha siku ya msiba wa marehemu mke wake, sasa unaweka hapa ili iweje?
MODS Naomba mfute huu upuzi, BAVICHA mnamatatizo sana.
Sasa ikiwa picha ya kwenye msiba inakuwa siyake
unaushahidi kama walipost hiyo picha ni BAVICHA?