Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,822
Reaction score
19,485
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
 

Huyu jamaa aache blah blah atuletee company yenye bei nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…