Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

Wivu wa kike.na siku moja atasimamu bungeni akipiga viti kumshangilia Rais Askofu JM Gwajima akiingia bungeni.time will tel
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Hatuna Bunge....wao wapo tayari kuongelea mipasho kama hiyo. Zero Kabisa!
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Amesema kweli Ndugai alipanga Bunge hovyo kabisa, hivi leo Mbunge kama huyu Sanga anakaa kiti cha Mbele wakati kuna wakongwe wamewekwa bench kabisa
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Hakuna bunge hapo ni kusanyiko la wahuni tupu
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Hii ni laana ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Tutaelewana tu.
 
Gwajima Bishop ana mtaji wa wajinga wengi mtaani.Shida mfumo umemsitukia.
Wajinga wanaanzia huko huko Bungeni, huku mtaani watu wanaakili zao, Acha kufananisha watu wa kitaa wanaopambana kwaakili nyingi,ulster akili zakinandugai waongo waongo na wanaokula matapishi yao kila siku
 
Komredi Kinana alimshambulia wapi Rais wa nchi?

Aling'ang'ana wapi kumshambulia Amiri Jeshi wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?!!!

Hayati Baba wa taifa hili....MENTOR....usimuweke kwenye BOTI NA WENGINE....ukosoaji wake haulinganishwi na GWAJIMA et al.

HASHTAG CCM IMFUKUZE GWAJIMA

#SiempreCCM
#NchiKwanzaKablaYaYeyoteNaChochochote

Wanachelewa wenyewe tu kumfukuza alishasema hamuogopi yeyote na hataomba msamaha na yupo tayari kwa lolote isipokuwa kifo.Ndiyo maana hakupoteza muda kuwajibu zaidi ya kuwaambia Neno alilotoa akiwa madhabahuni haliwezi kujadiliwa na yeyote.
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
😂😂😂😂😂 bungeni kuna mambo
 
Mbunge akili matope
 
Back
Top Bottom