Mbunge Lusinde airipua Chadema Bungeni

Mbunge Lusinde airipua Chadema Bungeni

scramble

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
1,593
Reaction score
257
Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni ya rasimu ya katiba.

Amemshangaa mnyika kutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya kitaifa pekee bali wanaogopa hata uchaguzi wa ndani ya chama. amesema vurugu zinazo endelea sasa hivi ndani ya chadema zinatokana na uchu wa madaraka.

Ameishauri chdm kuacha udikteta kwa kuwapa fursa wanachama wake kugombea uongozi.

Lusinde amehoji kwa nini kila ukaribiapo uchaguzi wa ndani wa chadm baadhi ya wanachama hufukuzwa na kuuawa? Amewataja kaburu, wangwe, kafulila na sasa zitto.

Amemalizia kwa kuwaomba chadm warekebishe demokrasia ya ndani kwanza ndiyo waisakame NEC
 
Ushauri mzuri

Sent from BlackBerry 9520
 
Back
Top Bottom