Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Aibu tupu!
Mulongo anahitaji maombi maalum, maana nahofia kuna siku ataokota makopo!

Walau wewe unamfikiria kumuombea, ninacho mfikiria mimi nikikitamka tu watu wa TISS wataanza kukesha kufuatilia nyendo zangu fasta
 

Wahenga walisema, PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA!!

 
wana arusha uwezo wao wa kufikiri upo juu ndiyo maana walimchagua. Pole nenda kachukue bk7 kwa kuingiza siku.

watu wenye akili timamu hawawezi kumchagua mtu kama Lema. Wana Arusha wote waliomchagua ni wehu. Utamchaguaje chizi?

  • :angry:
 
Kwa kweli mwaka huu Lema ameonyesha hekima ya hali ya juu. Toka pale alipofanikiwa kujizuia kuandamana na waendesha boda boda nampongeza sana! Keep it up Kamanda.
 
Lema anaongea maneno mengi sana ana copy kauli za kina Stiven Biko, hizi kauli wala hazina nafasi kwa sasa.
kwa mtu kama wewe huwezi ukaona umuhimu wake kwa sasa, maana hata kenge huwa ni mgumu sana wa kusikia mpaka adundwe na masikio yatoke damu hapo ndio hupata kusikia.
MAy take: NI RAHISI SANA KUFUTA VUMBI/UCHAFU LAKINI SIO HISTORIA.!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…