Mbunge kahoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,320
50,538
VIDEO :Mbunge wa Jimbo la kilombero Peter Lijualikali amemuuliza Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwanini askari polisi wa kilombero hawampigii saluti wakati maelekezo yametolewa bungeni kuwa wabunge wanapaswa kupigiwa saluti
1483636618572.png
 
Huyu nae badala ajikite kwenye hoja za msingi hasa migogoro kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekithiri ndani ya mkoa wao badala yake yeye anataka saluti za polisi! Sasa saluti za polisi zinamuongezea au kumpunguzia nini yeye kama Mbunge!?

What a jerk!
 
kwa hiyo kati ya vyote alivyoongea huyo mbunge, wewe umesikia hiyo tu ya salute? watu wengine buana
 
Raia hudhani salute ni heshima kubwa sana.
Salute ni jambo dogo sana haliwezi kubadilisha maisha ya wanajimbo waliokuchagua, tafuta mbinu za kuwakomboa wananchi wako.
Njoo kikosini tutakupigia salute.
raia anavyokua mshamba hata apigiwe salute hajui kubana mikono(kukakamaa)
 
Huyu nae badala ajikite kwenye hoja za msingi hasa migogoro kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekithiri ndani ya mkoa wao badala yake yeye anataka saluti za polisi! Sasa saluti za polisi zinamuongezea au kumpunguzia nini yeye kama Mbunge!?

What a jerk!
We nawe, nchi hii tokea ianze kujikita kwenye "HOJA ZA MSINGI" kipi tumefanikisha kama taifa ........???
 
mnaobeza eti aangalie mambo ya msingi, mambo ya msingi gani ambaya hayajajadiliwa? na masuala mifugo yanahusiana nini kwenye ripoti za wizara ya mambo ya ndani? huenda ikawa inahusiana.. sawa.. je ye kwani hajui kama kuna migogoro ya wakulima na wafugaji? je waziri mwenye dhamana hayupo? kwani naye hajui? anachokitete huyu m'bunge kina mantiki mana hii sera imetungwa na wao wabungu na imeshakua sheria hivyo lazima ifuatwe .. tupunguze ujuaji jamani
 
kwa hiyo kati ya vyote alivyoongea huyo mbunge, wewe umesikia hiyo tu ya salute? watu wengine buana
Hapana nimeskia mengi Ila hii Nimechukua IWE kama hoja.. Punde Nita anzisha na mambo mengine waliyozungumza Ila ni kwenye thread nyingine
 
Huyu nae badala ajikite kwenye hoja za msingi hasa migogoro kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekithiri ndani ya mkoa wao badala yake yeye anataka saluti za polisi! Sasa saluti za polisi zinamuongezea au kumpunguzia nini yeye kama Mbunge!?

What a jerk!

Naona Mbege na ulanzi havijakutoka kichwani!
 
Bro lijua Kali huenda walipewa maelekezo kutoka juu mbinguni magogoni.kama maelekezo ya kule kwa lema ambako mungu wa magogoni kathibitisha Kuwa hakumwonesha lema maono yoyote.we piga mzigo achana na hizo salute hazina tija yoyote.
 
Huyu nae badala ajikite kwenye hoja za msingi hasa migogoro kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekithiri ndani ya mkoa wao badala yake yeye anataka saluti za polisi! Sasa saluti za polisi zinamuongezea au kumpunguzia nini yeye kama Mbunge!?

What a jerk!
Hiyo lazma ahoji, lazma wampigie saluti bwana hayaaaa
 
Back
Top Bottom