Mbunge juu ya lori

Huyu jamaa Anapenda sana maendeleo.

swissme
 
Acha apige kazi porojo baadae
 
Mimi ni mwenzenu,matatizo yenu ni yangu pia...msinisahau.
 
Msimu huu wa kuelekea uchaguzi huwa unaambatana
na vituko vingi kutoka kwa waheshimiwa,mara utawaona vijijini kwao
wanaongea vilugha,mara wanapiga magoti kuomba ridhaa
ya kuongoza

Wakiisha pata ubunge na kuapishwa, kuja kijijini ni mpaka wafiwe.
Vinginevyo utawaona kwenye runinga
wakiwa bungeni wakigonga meza.
 
Kuna mwingine wa njombe nilimuona akiwa anaendesha bulldozer, tope hadi kiunoni!! anawaelekeza ma injinia sehemu barabara inatakiwa ipite!!!
 
huyu kaja na hii akishapata kura anaenda serengeti na nkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…