Mbunge Captain John Komba bado ni shida!

Ajenge miundo mbinu ya nini wakati yeye anataka kujihamishia makazi msituni??
 
Ameanza kufanya survey ya msitu atakaoingia zikiundwa serikali tatu!
 
Mi nilijua Komba ni darasa la 7,kumbe msomi kabisa!

Hivi hiyo BA (Political) 2006 - 2008 aliifanya kwa njia gani wakati yeye ni mbunge toka 2005 - 2015?!

Halafu shahada BA (Political) haipo! Labda kama ana maana Political Science..
 

Mkuu nimecheka saana!
 
Huyo Mnyama Komba anapatikana sana Pwani hususani pale penye Minazi Mingi ,huyo Mnyama hupendelea Kunywa Pombe ya Mnazi akishiba husinzia na kuanguka Chini .

Siyo akishiba kaka ,akilewa,maana pombe hushibi bali unalewa.
 

Vitawasaidia kufika mbinguni mkuu...
 
Huyu naye kasoma WIU? Mbona majanga
 
aaaah, huyo ni mzigo tena wa maembe.Huenda hilo kanisa limemuhakikishia kuenda nae msituni:frusty:
 
Ajenge miundo mbinu ya nini wakati yeye anataka kujihamishia makazi msituni??
<br>
huyo alimaanisha kwenda msituni kunya iwapo kinyesi kitambana. tatizo letu hatuangalii mambo kwenye three dimensions.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…