Mbunge Captain John Komba bado ni shida!

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
Mbunge wa Mbinga Magharib bado anaendeleza siasa zake kupitia makanisa mbalimbali yaliyoko jimboni mwake, moja ya mambo anayoyaongea akiwa ndani ya makanisa anayopita ni km yafutayo:

"....,ndugu zangunI muda si mrefu humu kanisanI nitawaletea kipaza sauti, kinanda pamoja na mishumaa..."

Halafu huyu mbunge anatembeleaga kanisa moja tu na siyo madhehebu yote au dini zote..sasa najiuliza hicho kipaza sauti, kinanda na mishumaa kitamsaidia nini mkulima,kitamsaidia nini mfanyabiashara, kitamsaidia nini mvuvi, kitamsaidia vipi mwanafunzi, yatima & mjane?.

Kwanini asiboreshe miundombinu ambayo itamsaidia kila mwananch!

SINA UHAKIKA NA ELIMU YAKE!

Nawasilisha
 
Anyway naye uwezo wake wa kufikiri umeishia pale, kwa Mungu anaweza kupata thawabu lakini kwa wananchi anaweza pia kuvuna anachokipanda.Badala ya kuwawekea Solar power, yeye analeta mishumaa kweli!!!!!!!!!.Lazima aingie msituni huyu akinyimwa ubunge 2015, Ni muasi mtarajiwa.
 
Inarahamwe na kanisa wapi na wapi..? wait ila hata wale si walianzia kanisani
 
Katika wabunge wasiojitambua bungeni ni KOMBA,WASSIRA,MAJIMAREFU,LUSINDE NA NKAMIA.

Hawa waliwaomba ridhaa wananchi wao waende ktk makochi ya bunge kulala kwa kuwa makwao hakuna magodoro.

DL
 
Katika wabunge wasiojitambua bungeni ni KOMBA,WASSIRA,MAJIMAREFU,LUSINDE NA NKAMIA.

Hawa waliwaomba ridhaa wananchi wao waende ktk makochi ya bunge kulala kwa kuwa makwao hakuna magodoro.

DL

Jomba hujamtendea haki Wile Vangipunda Lukuvi.
 
Bado yupo mujini ?
Mwambie awahi msituni..anachelewa
 
Mdau ukishasema ni Komba inatosha, tumdharau tu na tusipoteze muda kumjadili!
 
Katika wabunge wasiojitambua bungeni ni KOMBA,WASSIRA,MAJIMAREFU,LUSINDE NA NKAMIA.

Hawa waliwaomba ridhaa wananchi wao waende ktk makochi ya bunge kulala kwa kuwa makwao hakuna magodoro.

DL

Lukuvi unamwacha wapi?
 
Bado yupo mujini ?
Mwambie awahi msituni..anachelewa

Huko Msituni akienda na Mishumaa ataichoma Misitu moto na kuleta Majanga , Abaki huko huko town na Akili yake iliyojaa Mafuta hadi kupungukiwa Upeo.
 
Ndo maana anaitwa Komba sina haja ya kuendelea hapo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Top 3 ya Wabunge Vilaza na Wajinga kupindukia ni 1- Capt John komba , 2- Dr Hamis K ,mbunge wa Nzega 3- Livingstone Lusinde , Hawa ni aina ya Wabunge ambao hawafai hata Kuwa Wajumbe wa Nyumba 10 hususani Huyo Komba mwenye Tumbo Kama anakunya Humo humo mda mwingi Akiwa Bungeni huwa anasinzia na akikurupushwa huishia kuropoka bila kujielewa ! Chezea Mafuta wewe..... !
 
Ndo maana anaitwa Komba sina haja ya kuendelea hapo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Huyo Mnyama Komba anapatikana sana Pwani hususani pale penye Minazi Mingi ,huyo Mnyama hupendelea Kunywa Pombe ya Mnazi akishiba husinzia na kuanguka Chini .
 
watu mbinga nawaonea huruma sana chague watu walifanya kitu hata wao binafsi shule yake ya Bakili Muluzi tena alipewa msaada na raisi wa malawi imekufa utegemee maendeleo jimbo zima....kuna watu wengine umaskini ni haki yenu
 














[TD="width: 56%"][/TD]
[TD="width: 5%, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 20%"] E-mail this to a friend [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 14%"]Printable version[/TD]
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Capt. John
Middle Name: Damiano
Last Name:Komba
Constituent: Mbinga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 60161, Dar es Salaam
Office Phone: +255 754 284527
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jkomba@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 18 March 1954

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Washington International University
Cadet Training Unit - Monduli
Magdeburg Path - Germany
Kleruu Teachers' Training College
Songea Boys' Secondary School
Lituhi Primary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]BA(Political)[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]Diploma[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]Diploma (Political)[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]Certificate (Teaching)[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1963[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Mbinga West Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCMChief Culture
Tanzania One Theathre (TOT)Executive Director
Tanzania People's Defence ForcesArmy Officer
Ministry of EducationTeacher Grade III

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]

[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee, NEC

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]to date[/TD]






[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Machali Joseph Moses
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] Kasulu Mjini Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]NCCR-MAGEUZI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(19) [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions(62)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions(168)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]All members[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Enter your MP name or constituent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 113"] [/TD]
[TD="width: 75"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


«««»»»
1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30 31

[TH="colspan: 3"]May 2014[/TH]

[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sun[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Mon[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Tue[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Wed[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Thu[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Fri[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sat[/TH]

[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]
[TD="class: padding"] [/TD]
 
ni mwanamziki, nadhani anacho cha ziada ktk store yake. yawezekana pia ndo anapata faraja sana akihudhuria ibada ambayo muziki wa kwaya una vyombo hivi. hayo makundi mengine uliyoyataja yanaweza kuwa sehemu ya huko alikoahidi kupeleka huo msaada;

hakuna msaada ambao watu wote wanauhitaji kwa wakati mmoja.

Ni busara kuahidi anachoweza kuliko kuwaambia kuwajengea daraja ama kuwanunulia kivuko kitu ambacho anajua kabisa hataweza kutimiza.
 
Mi nilijua Komba ni darasa la 7,kumbe msomi kabisa!
 
Mwambie awahi msitun na huo mtumbo wake, akakutane na wanaume wa ukweli washatangulia huko
 
Nilimuliza rafiki yangu Mapunda eti "Komba" jina lina maana gani? Akasema ni mnyama,nikamuuliza huyo mnyama huwa anafugwa akasema hapana,hafugiki,nikawaza huenda jina walilompa j.komba ndiyo linamtesa ndiyo maana kila akiwaza anatamani kwenda msituni sababu ndiko komba wanakozaliwa,wanako kulia na kuishi maisha yao yote!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…