mbunge atimuliwa kwao....

unachoandika kina uhusiano gani na ubunge?
thats more personal kwani mbunge ni padri?
kale mangararimo na kiburu pale kiboro au mrere
kishoia kabisa
watu wengine hovyoooo kabisa
 
najutaa! kupoteza muda wangu kusoma ujinga huu
 
kwani wewe mbunge jajwa hapo juu una uhusiano naye?je?yaliyosemwa ni uongo? kama ni kweli unadhani ni sahihi kwa kiongozi mkubwa kama mbunge kuwa na tabia kama hiyo?any way; hata hivyo mleta taarifa anatakiwa athibitishe ukweli wa taarifa yake.
hiyo ndio nini sasa na wewe betlehemu? au ulikuwa na haraka ya kukimbia uharo uliowekwa hapo juu?
 
Wakisema taja wajinga wa humu jf huyu jamaa yumo kwa nn unapenda kufuatilia maisha ya watu,we n mjinga na mpumbavu,umedai huyu diwan alikuwa kalewa na bia ya kilimanjaro ndo anaropoka sasa ww unamin maneno ya mlev unaleta huku sasa ww ndo mlevi!usilete umbea huu uku wa kuchunguza maisha ya watu
 
duh;; nilijuaga matusi yote ya zamani kumbe bado kuna watunzi wa matusi
 
Miaisha binafsi si kigezo sahihi cha kupima utendaji wa kiongozi.
 
Mambo mengine ni binafsi sana..umbea tu..
 
siku hizi hakuna tena maliwato za bure umeona uje kujisaidia humu jf.

Ahsante Mamndenyi kwa kumpa ukweli. Source yake anasema ni mfanyakazi wa Kiliwater ambaye pia eti ni diwani! aliyekuwa amelewa chakari! SHAME.
 
Last edited by a moderator:

Naona bado unaendelea na ID nyingine
Join Date : 2nd January 2013
Posts : 11
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0
 
Hivi kumbe ukinywa mbege iliyochacha mathara yake ni karibu ya bangi.

Hapa hoja mahsusi sijui ni ipi?
 
Kapime vvu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…