Naomba nikusahihishe mkuu.Hebu sema tofauti ya alichofanya Devotha na alichofanya huyo Mbunge ni ipi?!
Simply, wewe ni shabiki wa mbunge, na wale walikuwa mashabiki wa Devotha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vizuriHii Ni kazi nzuri, wabunge wote washindane majimboni kugawa barakoa n sanitizer.huu sio wakati Wa kuzungumzia uchaguzi.
Unafahamu alianza lini kuwa Mbunge?Huyo hana lolote, toka babu yake, baba yake na yeye ndio wametumalizia tembo wetu hivyo hizo anazotoa ni proceeds tu zilizotokana na nyara zetu.
Yeye anafukuzia tu ubunge wakati alipokuwa hajawa mbunge mbona alikuwa hafanyi hayo. Hao ni wanafiki tu na amekuta pia Morogoro waswahili ni wengi hawataki kufanya kazi wamebaki tu kuvizia fursa feki kama hizo. Very hopeless this Arab.
Hahahaa. Hii janja janja niliitarajia.huyu amekamatwa ?
Sisi huku Hai ni kama watoto yatima. Tumeshasahau kama tulichagua mbungeSisi Iramba mbunge wetu hajatupa
Hataki kuwachosha cdm. Wametumia nguvu nyingi kuwasafishaKwani Magufuli anapiga vita ufisadi ?
Bilionea Sabaya hayupo ?Sisi huku Hai ni kama watoto yatima. Tumeshasahau kama tulichagua mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kuna mwingine kasema watu wawe injected detol na hamumuandami kama mnavyomuandanma JIWE?
Devota alipokuwa mtangazaji alikuwa akiyafanya haya?Huyo hana lolote, toka babu yake, baba yake na yeye ndio wametumalizia tembo wetu hivyo hizo anazotoa ni proceeds tu zilizotokana na nyara zetu.
Yeye anafukuzia tu ubunge wakati alipokuwa hajawa mbunge mbona alikuwa hafanyi hayo. Hao ni wanafiki tu na amekuta pia Morogoro waswahili ni wengi hawataki kufanya kazi wamebaki tu kuvizia fursa feki kama hizo. Very hopeless this Arab.
Kwani Moro kwa Devota hakuna mabilionea?Bilionea Sabaya hayupo ?
Nilivyosikia mbunge wa Mafia kafariki kwa corona nimeona nitulize mshono wangu hapa hapa Dar 🤣
HahahaaaaNilivyosikia mbunge wa Mafia kafariki kwa corona nimeona nitulize mshono wangu hapa hapa Dar